Mark 6:13 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waliwafukuza pepo wengi wabaya; wakawapaka mafuta wagonjwa wengi, wakawaponya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakatoa pepo wachafu wengi, wakawapaka wagonjwa wengi mafuta na kuwaponya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakatoa pepo wengi, wakapaka mafuta watu wengi waliokuwa wagonjwa, wakawapoza.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mitume wakafukuza mashetani wengi na kuwapaka mafuta ya mizeituni wagonjwa wengi na kuwaponya.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Waliwafukuza pepo wengi wabaya; wakawapaka mafuta wagonjwa wengi, wakawaponya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waliwafukuza pepo wengi wabaya; wakawapaka mafuta wagonjwa wengi, wakawaponya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakatoa pepo wachafu wengi, wakawapaka wagonjwa wengi mafuta na kuwaponya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakatoa pepo wachafu wengi, wakawapaka wagonjwa wengi mafuta na kuwaponya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakatoa pepo wengi, wakapaka mafuta watu wengi waliokuwa wagonjwa, wakawaponya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waliwafukuza pepo wengi wabaya; wakawapaka mafuta wagonjwa wengi, wakawaponya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakafukuza pepo wengi, wakapaka wanyonge wengi mafuta, wakawaponya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakatoa pepo wengi, wakapaka mafuta watu wengi waliokuwa wagonjwa, wakawapoza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakafukuza pepo wengi, na wakapakaa wagonjwa wengi mafuta na kuwaponyesha.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakafukuza pepo wengi, wakapaka mafuta watu wengi waliokuwa wagoujwa, wakawaponya.