Mark 6:15 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wengine walisema, “Mtu huyu ni Elia.” Wengine walisema, “Huyu ni nabii kama mmojawapo wa manabii wa kale.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wengine wakasema, “Yeye ni Ilya.” Nao wengine wakasema, “Yeye ni nabii, kama mmoja wa manabii wa zamani.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wengine walisema, Ni Eliya. Wengine walisema, Huyu ni nabii, au ni kama mmoja wa manabii.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wengine wakasema, “Yeye ni Eliya.” Wengine walisema, “Yeye ni nabii kama mmoja wa manabii wa zamani.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wengine walisema, “Mtu huyu ni Eliya.” Wengine walisema, “Huyu ni nabii kama mmojawapo wa manabii wa kale.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wengine walisema, “Mtu huyu ni Elia.” Wengine walisema, “Huyu ni nabii kama mmojawapo wa manabii wa kale.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wengine wakasema, “Yeye ni Eliya.” Nao wengine wakasema, “Yeye ni nabii, kama mmojawapo wa wale manabii wa zamani.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wengine wakasema, “Yeye ni Ilya.” Nao wengine wakasema, “Yeye ni nabii, kama mmojawapo wa wale manabii wa zamani.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wengine walisema, Ni Eliya. Wengine walisema, Huyu ni nabii, au ni kama mmoja wa manabii.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wengine walisema, “Mtu huyu ni Elia.” Wengine walisema, “Huyu ni nabii kama mmojawapo wa manabii wa kale.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wengine walisema: Ndiye Elia; wengine tena walisema: Ni mfumbuaji kama wale wafumbuaji wenzake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wengine walisema, Ni Eliya. Wengine walisema, Huyu ni nabii, au ni kama mmoja wa manabii.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wengine walisema: “Huyu ni nabii Elia.” Wengine walisema: “Yeye ni nabii sawa na mumoja wa wale manabii wa zamani.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wengine walinena, Huyu ni nabii au kama mmoja wa manabii.