Mark 6:16 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Herode alipopata habari hizi alisema, “Huyu ni Yohane! Nilimkata kichwa, lakini amefufuka.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Herode aliposikia habari hizi, akasema, “Huyo ni Yahya, niliyemkata kichwa, amefufuliwa kutoka kwa wafu!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini Herode aliposikia, alisema, Yohana, niliyemkata kichwa, amefufuka.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini Herode aliyasikia haya na kusema, “Yohana, yule mtu niliyemkata kichwa, amefufuka kutoka kifo.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini Herode alipopata habari hizi alisema, “Huyu ni Yohane! Nilimkata kichwa, lakini amefufuka.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Herode alipopata habari hizi alisema, “Huyu ni Yohane! Nilimkata kichwa, lakini amefufuka.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Herode aliposikia habari hizi, akasema, “Huyo ni Yohana Mbatizaji, niliyemkata kichwa, amefufuka!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Herode aliposikia habari hizi, akasema, “Huyo ni Yahya, niliyemkata kichwa, amefufuliwa kutoka kwa wafu!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini Herode aliposikia, alisema, Yohana, niliyemkata kichwa, amefufuka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Herode alipopata habari hizi alisema, “Huyu ni Yohane! Nilimkata kichwa, lakini amefufuka.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Herode alipoyasikia akasema: Ndiye Yohana, niliyemkata kichwa mimi, huyo amefufuka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini Herode aliposikia, alisema, Yohana, niliyemkata kichwa, amefufuka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Herode aliposikia habari zile, akasema: “Ni yule Yoane Mubatizaji niliyemukata kichwa ndiye amefufuka!”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini Herode aliposikia, alinena, Huyu ndiye Yohana, niliyemkata kichwa; amefufuka.
Recommended Reading