Mark 6:18 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yohane alikuwa amemwambia Herode, “Si halali kwako kumchukua mke wa ndugu yako.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yahya alikuwa amemwambia Herode, “Si halali kwako kuwa na mke wa ndugu yako.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kwa sababu Yohana alimwambia Herode, Si halali kwako kuwa na mke wa nduguyo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kwani Yohana alizidi kumwambia Herode, “Si halali kwako kisheria kumwoa mke wa kaka yako.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yohane alikuwa amemwambia Herode, “Si halali kwako kumchukua mke wa ndugu yako.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yohane alikuwa amemwambia Herode, “Si halali kwako kumchukua mke wa ndugu yako.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yohana alikuwa amemwambia Herode, “Si halali wewe kumwoa mke wa ndugu yako.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yahya alikuwa amemwambia Herode, “Si halali kwako kuwa na mke wa ndugu yako.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kwa sababu Yohana alimwambia Herode, Si halali kwako kuwa na mke wa nduguyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yohane alikuwa amemwambia Herode, “Si halali kwako kumchukua mke wa ndugu yako.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Yohana alimwambia Herode: Ni mwiko kwako kuwa na mke wa nduguyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kwa sababu Yohana alimwambia Herode, Si halali kwako kuwa na mke wa nduguyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yoane alikuwa amemwambia kwamba hana sheria ya kumwoa yule muke wa mudogo wake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Si halali kwako kuwa na mke wa ndugu yako.

Recommended Reading