Mark 6:23 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tena akamwapia, “Chochote utakachoniomba, nitakupa; hata ikiwa ni nusu ya ufalme wangu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tena akamwahidi kwa kiapo, akamwambia, “Chochote utakachoomba nitakupa, hata kama ni nusu ya ufalme wangu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamwapia, Lo lote utakaloniomba nitakupa, hata nusu ya ufalme wangu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Akamuahidi: “Nitakupa chochote utakachoniomba, hata nusu ya ufalme wangu!”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Tena akamwapia, “Chochote utakachoniomba, nitakupa: hata ikiwa ni nusu ya ufalme wangu.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tena akamwapia, “Chochote utakachoniomba, nitakupa; hata ikiwa ni nusu ya ufalme wangu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tena akamwahidi kwa kiapo akamwambia, “Cho chote utakachoomba nitakupa, hata kama ni nusu ya ufalme wangu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tena akamwahidi kwa kiapo, akamwambia, “Chochote utakachoomba nitakupa, hata kama ni nusu ya ufalme wangu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamwapia, lolote utakaloniomba nitakupa, hata nusu ya ufalme wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tena akamwapia, “Chochote utakachoniomba, nitakupa; hata ikiwa ni nusu ya ufalme wangu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Niombe kila, utakacho! nitakupa; kisha akamwapia: Cho chote, utakachoniomba, nitakupa, ijapo iwe nusu ya ufalme wangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamwapia, Lo lote utakaloniomba nitakupa, hata nusu ya ufalme wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha akamwapia, akisema: “Nitakupa chochote utakachoniomba, hata ikiwa nusu ya ufalme wangu.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akamwambia, Lo lote utakaloniomba, nitakupa hatta nussu ya ufalme wangu.