Mark 6:24 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo huyo msichana akatoka, akamwuliza mama yake, “Niombe nini?” Naye akamjibu, “Kichwa cha Yohane Mbatizaji.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yule binti akatoka nje, akaenda kumuuliza mama yake, “Niombe nini?” Mama yake akamjibu, “Omba kichwa cha Yahya.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi akatoka, akamwuliza mamaye, Niombe nini? Naye akasema, Kichwa cha Yohana Mbatizaji.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Naye akatoka na kumwambia mama yake, “Niombe kitu gani?” Mama yake akasema, “Omba kichwa cha Yohana Mbatizaji.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hapo huyo msichana akatoka, akamwuliza mama yake, “Niombe nini?” Naye akamjibu, “Kichwa cha Yohane mbatizaji.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo huyo msichana akatoka, akamwuliza mama yake, “Niombe nini?” Naye akamjibu, “Kichwa cha Yohane Mbatizaji.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yule binti akatoka nje akaenda kumwuliza mama yake, “Niombe nini?” Mama yake akajibu, “Omba kichwa cha Yohana Mbatizaji.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yule binti akatoka nje, akaenda kumuuliza mama yake, “Niombe nini?” Mama yake akamjibu, “Omba kichwa cha Yahya.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi akatoka, akamwuliza mamaye, Niombe nini? Naye akasema, Kichwa cha Yohana Mbatizaji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo huyo msichana akatoka, akamwuliza mama yake, “Niombe nini?” Naye akamjibu, “Kichwa cha Yohane Mbatizaji.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yule akatoka, akamwuliza mama yake: Niombe nini? Naye akasema: Kichwa chake Yohana Mbatizaji!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi akatoka, akamwuliza mamaye, Niombe nini? Naye akasema, Kichwa cha Yohana Mbatizaji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi yule binti akatoka na kwenda kumwuliza mama yake: “Niombe nini?” Mama yake akamujibu: “Omba kichwa cha Yoane Mubatizaji.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akatoka, akamwambia mama yake, Niombe nini? Akasema, Kichwa cha Yohana Mbatizaji.