Mark 6:25 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msichana akamrudia mfalme mbio akamwomba, “Nataka unipe sasa hivi katika sinia kichwa cha Yohane Mbatizaji.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yule binti akarudi haraka kwa mfalme, akamwambia, “Nataka unipe sasa hivi kichwa cha Yahya kwenye sinia.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mara akaingia kwa haraka mbele ya mfalme, akaomba akisema, Nataka unipe sasa hivi katika kombe kichwa cha Yohana Mbatizaji.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yule msichana mara moja aliharakisha kuingia ndani kwa mfalme na kuomba: “Nataka unipe sasa hivi kichwa cha Yohana Mbatizaji katika sinia.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Msichana akamrudia mfalme mbio akamwomba, “Nataka unipe sasa hivi katika sinia kichwa cha Yohane mbatizaji.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msichana akamrudia mfalme mbio akamwomba, “Nataka unipe sasa hivi katika sinia kichwa cha Yohane Mbatizaji.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yule binti akarudi haraka kwa mfalme akamwambia, “Nataka unipe sasa hivi kichwa cha Yohana Mbatizaji kwenye sinia.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yule binti akarudi haraka kwa mfalme, akamwambia, “Nataka unipe sasa hivi kichwa cha Yahya kwenye sinia.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mara akaingia kwa haraka mbele ya mfalme, akaomba akisema, Nataka unipe sasa hivi katika kombe kichwa cha Yohana Mbatizaji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msichana akamrudia mfalme mbio akamwomba, “Nataka unipe sasa hivi katika sinia kichwa cha Yohane Mbatizaji.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Papo hapo akaingia mbio kwa mfalme, akaomba akisema: Nataka, unipe sasa hivi katika chano kichwa chake Yohana Mbatizaji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mara akaingia kwa haraka mbele ya mfalme, akaomba akisema, Nataka unipe sasa hivi katika kombe kichwa cha Yohana Mbatizaji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mara moja yule binti akarudi upesi kwa mufalme na kumwomba: “Ninataka unipe sasa hivi kichwa cha Yoane Mubatizaji katika sahani.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Marra akaingia kwa haraka mbele ya mfalme akaomba akinena, Nataka unipe sasa hivi katika kombe kichwa cha Yohana Mbatizaji.