Mark 6:27 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, mfalme akamwamuru askari kukileta kichwa cha Yohane. Askari akaenda, akamkata kichwa Yohane mle gerezani,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mara mfalme akatuma askari mmoja wa walinzi wake kukileta kichwa cha Yahya. Akaenda na kumkata Yahya kichwa humo gerezani,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mara mfalme akatuma askari, akaamuru kuleta kichwa chake. Basi akaenda, akamkata kichwa mle gerezani,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kwa hiyo mfalme mara moja akamtuma mwenye kutekeleza hukumu za kifo akiwa na amri ya kukileta kichwa cha Yohana. Kisha akaenda kukikata kichwa cha Yohana,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, mfalme akamwamuru askari kukileta kichwa cha Yohane. Askari akaenda, akamkata kichwa Yohane mle gerezani,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, mfalme akamwamuru askari kukileta kichwa cha Yohane. Askari akaenda, akamkata kichwa Yohane mle gerezani,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mara mfalme akatuma askari mmojawapo wa walinzi wake kukileta kichwa cha Yohana. Akaenda na kumkata Yohana kichwa humo gerezani,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mara mfalme akatuma askari mmojawapo wa walinzi wake kukileta kichwa cha Yahya. Akaenda na kumkata Yahya kichwa humo gerezani,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mara mfalme akatuma askari, akaamuru kuleta kichwa chake. Basi akaenda, akamkata kichwa mle gerezani,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, mfalme akamwamuru askari kukileta kichwa cha Yohane. Askari akaenda, akamkata kichwa Yohane mle gerezani,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, mfalme alipotuma askari, akamwagiza, akilete kile kichwa chake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mara mfalme akatuma askari, akaamuru kuleta kichwa chake. Basi akaenda, akamkata kichwa mle gerezani,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mara moja mufalme akamutuma mumoja wa waaskari wake walinzi na kumwamuru aende kuleta kichwa cha Yoane Mubatizaji. Yule askari akaenda ndani ya kifungo na kumukata Yoane kichwa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Marra mfalme akatuma askari, akiamuru kuleta kichwa chake.