Mark 6:29 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanafunzi wa Yohane walipopata habari, walikwenda wakauchukua mwili wake, wakauzika kaburini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanafunzi wa Yahya walipopata habari hizi, wakaja na kuuchukua mwili wake, wakauzika kaburini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wanafunzi wake waliposikia habari, walikwenda, wakauchukua mwili wake, wakauzika kaburini.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wanafunzi wa Yohana waliposikia haya walikuja na kuchukua mwili na kuuweka ndani ya kaburi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wanafunzi wa Yohane walipopata habari, walikwenda wakachukua mwili wake, wakauzika kaburini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanafunzi wa Yohane walipopata habari, walikwenda wakauchukua mwili wake, wakauzika kaburini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanafunzi wake walipopata habari hizi, wakaja kuuchukua mwili wake, wakauzika kaburini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanafunzi wa Yahya walipopata habari hizi, wakaja na kuuchukua mwili wake, wakauzika kaburini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wanafunzi wake waliposikia habari, walikwenda, wakauchukua mwili wake, wakauzika kaburini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanafunzi wa Yohane walipopata habari, walikwenda wakauchukua mwili wake, wakauzika kaburini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wanafunzi wake walipoyasikia wakaja, wakautwaa mwili wake, wakauweka kaburini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wanafunzi wake waliposikia habari, walikwenda, wakauchukua mwili wake, wakauzika kaburini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati wanafunzi wa Yoane walipopata habari ile, wakaenda kubeba maiti yake na kuizika.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wauafunzi wake waliposikia khabari, wakaenda, wakachukua mayiti yake, wakamzika.