Mark 6:30 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wale mitume walirudi, wakakusanyika mbele ya Yesu, wakamwarifu yote waliyotenda na kufundisha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale mitume wakakusanyika kwa Isa na kumpa taarifa ya mambo yote waliyokuwa wamefanya na kufundisha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mitume wakakusanyika mbele ya Yesu; wakampa habari za mambo yote waliyoyafanya, na mambo yote waliyoyafundisha.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mitume walikusanyika kumzunguka Yesu, na wakamweleza yote waliyofanya na kufundisha.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wale mitume walirudi, wakakusanyika mbele ya Yesu wakamwarifu yote waliyotenda na kufundisha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wale mitume walirudi, wakakusanyika mbele ya Yesu, wakamwarifu yote waliyotenda na kufundisha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale wanafunzi wa Yesu wakamkusanyikia na kumpa taarifa ya mambo yote waliyokuwa wamefanya na kufundisha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale mitume wakakusanyika kwa Isa na kumpa taarifa ya mambo yote waliyokuwa wamefanya na kufundisha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mitume wakakusanyika mbele ya Yesu; wakampa habari za mambo yote waliyoyafanya, na mambo yote waliyoyafundisha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wale mitume walirudi, wakakusanyika mbele ya Yesu, wakamwarifu yote waliyotenda na kufundisha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao mitume wakakusanyika kwa Yesu, wakamsimulia mambo yote, waliyoyafanya nayo waliyoyafundisha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mitume wakakusanyika mbele ya Yesu; wakampa habari za mambo yote waliyoyafanya, na mambo yote waliyoyafundisha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mitume wakarudi kwa Yesu, na kumwelezea mambo yote waliyofanya na yote waliyofundisha.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na mitume wakakusanyika mbele ya Yesu; wakampa khabari za mambo yote waliyoyafanya na mambo yote waliyoyafundisha.