Mark 6:32 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, wakaondoka peke yao kwa mashua, wakaenda mahali pa faragha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo wakaondoka kwa mashua peke yao, wakaenda mahali pasipo na watu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakaenda zao faragha mashuani, mahali pasipokuwa na watu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kwa hiyo wakaondoka na mtumbwi kuelekea mahali patulivu na mbali na watu wakiwa peke yao.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, Wakaondoka peke yao kwa mashua, wakaenda mahali pa faragha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, wakaondoka peke yao kwa mashua, wakaenda mahali pa faragha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo wakaondoka kwa mashua peke yao wakaenda mahali pa faragha pasipo na watu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo wakaondoka kwa mashua peke yao, wakaenda mahali pasipo na watu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakaenda zao faragha mashuani, mahali pasipokuwa na watu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, wakaondoka peke yao kwa mashua, wakaenda mahali pa faragha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakaondoka, wakaenda chomboni peke yao mahali palipokuwa pasipo watu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakaenda zao faragha mashuani, mahali pasipokuwa na watu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi wakaenda peke yao ndani ya chombo kwa pahali penye ukiwa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakaenda zao chomboni, mahali pasipo watu, kwa faragha.