Mark 6:36 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Afadhali uwaage watu waende mashambani na katika vijiji vya jirani, wanunue chakula.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waage watu ili waende mashambani na vijijini jirani, wakajinunulie chakula.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
uwaage watu hawa, ili waende zao mashambani na vijijini kandokando, wakajinunulie chakula.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Uruhusu watu waende zao, ili kwamba waende kwenye mashamba na vijiji vinavyozunguka na waweze kujinunulia kitu cha kula.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Afadhali uwaage watu waende mashambani na katika vijiji vya jirani, wanunue chakula.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Afadhali uwaage watu waende mashambani na katika vijiji vya jirani, wanunue chakula.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waage watu ili waweze kwenda sehemu za mashambani na vijiji vya jirani, wakajinunulie chakula.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waage watu ili waende mashambani na vijijini jirani, wakajinunulie chakula.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
uwaage watu hawa, ili waende zao mashambani na vijijini kandokando, wakajinunulie chakula.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Afadhali uwaage watu waende mashambani na katika vijiji vya jirani, wanunue chakula.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Uwaage watu, waende zao mashambani na vijijini huko pembenipembeni, wajinunulie vyakula!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
uwaage watu hawa, ili waende zao mashambani na vijijini kandokando, wakajinunulie chakula.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uwaage watu hawa kusudi waende kwenye nyumba kule katika mbuga na katika vijiji vya hapa karibu wapate kujinunulia chakula.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
uwaage watu hawa, illi waende zao mashambani na vijijini huko na huko, wakajinunulie chakula.