Mark 6:38 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yesu akawauliza, “Mnayo mikate mingapi? Nendeni kutazama.” Walipokwisha tazama, wakamwambia, “Kuna mikate mitano na samaki wawili.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akawauliza, “Kuna mikate mingapi? Nendeni mkaangalie.” Walipokwisha kujua, wakarudi, wakamwambia, “Kuna mikate mitano na samaki wawili.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawaambia, Mnayo mikate mingapi? Nendeni mkatazame. Walipokwisha kujua wakasema, Mitano, na samaki wawili.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu akawambia, “Ni mikate mingapi mliyonayo? Nendeni mkaone.” Walienda kuhesabu, wakarudi kwa Yesu na kusema, “Tunayo mikate mitano na samaki wawili.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu akawauliza, “Mnayo mikate mingapi? Nendeni mkatazame.” Walipokwisha tazama, wakamwambia, “Kuna mikate mitano na samaki wawili.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yesu akawauliza, “Mnayo mikate mingapi? Nendeni kutazama.” Walipokwisha tazama, wakamwambia, “Kuna mikate mitano na samaki wawili.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akawauliza, “Kuna mikate mingapi? Nendeni mkaangalie.” Walipokwisha kuona wakarudi, wakamwambia, “Kuna mikate mitano na samaki wawili.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akawauliza, “Kuna mikate mingapi? Nendeni mkaangalie.” Walipokwisha kujua wakarudi, wakamwambia, “Kuna mikate mitano na samaki wawili.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawaambia, Mnayo mikate mingapi? Nendeni mkatazame. Walipokwisha kujua wakasema, Mitano, na samaki wawili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yesu akawauliza, “Mnayo mikate mingapi? Nendeni kutazama.” Walipokwisha tazama, wakamwambia, “Kuna mikate mitano na samaki wawili.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawauliza: Mnayo mikate mingapi? Haya! Nendeni, mtazame! Walipoijua wakasema: Mitano, tena visamaki viwili.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawaambia, Mnayo mikate mingapi? Nendeni mkatazame. Walipokwisha kujua wakasema, Mitano, na samaki wawili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye Yesu akawauliza: “Muko na mikate ngapi? Muende kwanza kuangalia.” Walipokwisha kujua, wakamwambia: “Tuko na mikate mitano na samaki mbili.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akawaambia, Mikale mingapi mnayo? Enendeni mkatazame. Walipokwisha kujua wakanena, Mitano, na samaki mbili.