Mark 6:40 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nao wakaketi makundimakundi ya watu 100 na ya watu hamsini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nao wakaketi kwenye vikundi vya watu mia mia, na wengine hamsini hamsini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakaketi safu safu, hapa mia hapa hamsini.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Nao wakakaa kwa vikundi vya watu mia na mmoja na vya watu hamsini.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nao wakaketi makundimakundi ya watu mia moja na ya watu hamsini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nao wakaketi makundimakundi ya watu 100 na ya watu hamsini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nao wakaketi kwenye makundi ya watu mia mia na wengine hamsini hamsini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nao wakaketi kwenye makundi ya watu mia mia na wengine hamsini hamsini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakaketi safu safu, hapa mia hapa hamsini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nao wakaketi makundimakundi ya watu 100 na ya watu hamsini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakakaa kikao kwa kikao, pengine mia, pengine hamsini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakaketi safu safu, hapa mia hapa hamsini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakaikaa kwa makundi ya watu mia moja mia moja, na makumi tano tano.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakaketi kwa safu, nyingine mia, nyingine khamsimi.