Mark 6:43 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakaokota mabaki ya mikate na samaki pia, wakajaza vikapu kumi na viwili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nao wanafunzi wake wakakusanya vipande vilivyosalia vya mikate na samaki, wakajaza vikapu kumi na viwili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakaokota vipande vilivyomegwa vya kuweza kujaza vikapu kumi na viwili; na vipande vya samaki pia.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wakachukua mabaki ya vipande vya mikate na samaki na kujaza vikapu kumi na viwili.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wakaokota mabaki ya mikate na samaki pia, wakajaza vikapu kumi na viwili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakaokota mabaki ya mikate na samaki pia, wakajaza vikapu kumi na viwili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanafunzi wake wakakusanya vipande vilivyosalia vya mikate na samaki, wakajaza vikapu kumi na viwili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nao wanafunzi wake wakakusanya vipande vilivyosalia vya mikate na samaki, wakajaza vikapu kumi na viwili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakaokota vipande vilivyomegwa vya kuweza kujaza vikapu kumi na viwili; na vipande vya samaki pia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakaokota mabaki ya mikate na samaki pia, wakajaza vikapu kumi na viwili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wakaokota makombo ya mikate wakajaza vikapu kumi na viwili pamoja na vipande vya samaki.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakaokota vipande vilivyomegwa vya kuweza kujaza vikapu kumi na viwili; na vipande vya samaki pia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha wanafunzi wakaokota vipande vya mikate na vya samaki vilivyobaki, wakajaza vitunga kumi na viwili.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakaokota vipande vilivyomegwa vya kuweza kujaza vikapu thenashara: navyo vipande vya samaki.