Mark 6:44 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nao waliokula hiyo mikate walikuwa wanaume 5,000.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Idadi ya wanaume waliokula walikuwa elfu tano.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na walioila ile mikate wapata elfu tano wanaume.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na idadi ya wanaume waliokula ile mikate ilikuwa 5,000.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nao waliokula hiyo mikate walikuwa wanaume elfu tano.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nao waliokula hiyo mikate walikuwa wanaume 5,000.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Idadi ya wanaume waliokula walikuwa 5,000.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Idadi ya wanaume waliokula walikuwa 5,000.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na walioila ile mikate walikuwa wanaume elfu tano.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nao waliokula hiyo mikate walikuwa wanaume 5,000.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao waliokula ile mikate walikuwa 5000 waume tu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na walioila ile mikate wapata elfu tano wanaume.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hesabu ya wanaume tu waliokula ilikuwa elfu tano.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na wanaume walioila ile mikate wapata elfu tano.