Mark 6:47 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ilipokuwa jioni, mashua ilikuwa katikati ya ziwa, naye alikuwa peke yake katika nchi kavu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ilipofika jioni, ile mashua ilikuwa imefika katikati ya bahari, na Isa alikuwa peke yake katika nchi kavu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kulipokuwa jioni mashua ilikuwa katikati ya bahari, na yeye yu peke yake katika nchi kavu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ilipotimia jioni, mashua ilikuwa katikati ya ziwa, na Yesu alikuwa peke yake katika nchi kavu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ilipokuwa jioni, mashua ilikuwa katikati ya ziwa, naye alikuwa peke yake katika nchi kavu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ilipokuwa jioni, mashua ilikuwa katikati ya ziwa, naye alikuwa peke yake katika nchi kavu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ilipofika jioni, ile mashua ilikuwa imefika katikati ya bahari na Yesu alikuwa peke yake katika nchi kavu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ilipofika jioni, ile mashua ilikuwa imefika katikati ya bahari, na Isa alikuwa peke yake katika nchi kavu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kulipokuwa jioni mashua ilikuwa katikati ya bahari, na yeye yu peke yake katika nchi kavu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ilipokuwa jioni, mashua ilikuwa katikati ya ziwa, naye alikuwa peke yake katika nchi kavu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jua lilipokwisha kuchwa, chombo kilikuwa katikati ya bahari, naye mwenyewe alikuwa peke yake pwani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kulipokuwa jioni mashua ilikuwa katikati ya bahari, na yeye yu peke yake katika nchi kavu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Giza lilipoingia, chombo kilikuwa katikati ya ziwa, na Yesu alikuwa peke yake inchi kavu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ilipokuwa jioni chombo kilikuwa kati ya bahari, na yeye peke yake katika inchi kavu.