Mark 6:49 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini walipomwona akitembea juu ya maji, walidhani ni mzimu, wakapiga yowe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
lakini walipomwona akitembea juu ya maji, wakadhani ni mzimu. Wakapiga yowe,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao walipomwona anatembea juu ya bahari, walidhani ya kuwa ni kivuli, wakapiga yowe,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
wanafunzi wake wakamwona akitembea juu ya ziwa, na wakafikiri kuwa alikuwa ni mzimu, ndipo walipopiga kelele.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini walimwona akitembea juu ya maji, wakadhani ni mzimu, wakapiga yowe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini walipomwona akitembea juu ya maji, walidhani ni mzimu, wakapiga yowe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
lakini walipomwona akitembea juu ya maji, wakadhani ni mzimu, wakapiga yowe,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
lakini walipomwona akitembea juu ya maji, wakadhani ni mzimu. Wakapiga yowe,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao walipomwona anatembea juu ya bahari, walidhani ya kuwa ni mzuka, wakapiga yowe,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini walipomwona akitembea juu ya maji, walidhani ni mzimu, wakapiga yowe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao walipomwona, anavyokwenda juu ya bahari, wakawaza kuwa ni mzimu, wakapiga makelele,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao walipomwona anatembea juu ya bahari, walidhani ya kuwa ni kivuli, wakapiga yowe,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao walipomwona akitembea juu ya maji, wakawaza kwamba ni muzimu, wakaanza kulalamika,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nao walipomwoua anatembea juu ya bahari walidhani ya kuwa ni kivuli, wakapiga yowe, kwa sababu wote walimwona, wakafadhaika.