Mark 6:51 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha akapanda mashuani walimokuwa, na upepo ukatulia. Nao wakashangaa sana,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akapanda ndani ya mashua nao, na ule upepo ukakoma! Wakashangaa kabisa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akapanda mle chomboni walimo; upepo ukakoma; wakashangaa sana mioyoni mwao;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha alipanda kwenye mtumbwi pamoja nao, na upepo ukatulia. Wakashangaa kabisa,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kisha akapanda mashuani walimokuwa, na upepo ukatulia. Nao wakashangaa sana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha akapanda mashuani walimokuwa, na upepo ukatulia. Nao wakashangaa sana,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akapanda kwenye mashua yao na ule upepo ukakoma! Wakashangaa kabisa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akapanda ndani ya mashua nao, na ule upepo ukakoma! Wakashangaa kabisa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akapanda mle katika mashua walimo; upepo ukakoma; wakashangaa sana mioyoni mwao;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha akapanda mashuani walimokuwa, na upepo ukatulia. Nao wakashangaa sana,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipowapandia chomboni, upepo ukakoma. Ndipo, walipostuka na kushangaa mno mioyoni mwao;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akapanda mle chomboni walimo; upepo ukakoma; wakashangaa sana mioyoni mwao;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha akaingia ndani ya chombo walimokuwa, na upepo ukakoma. Kwa hiyo wanafunzi wakashangaa sana,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akapanda mle cbomboni walimo; npepo ukakoma; wakashangaa sana, kupita kiasi, wakastaajabu;