Mark 6:52 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kwa sababu hawakuwa bado wameelewa maana ya ile mikate. Akili zao zilikuwa bado zimepumbazika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa kuwa walikuwa hawajaelewa kuhusu ile mikate. Mioyo yao ilikuwa migumu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kwa maana hawakufahamu habari za ile mikate, lakini mioyo yao ilikuwa mizito.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
kwa kuwa walikuwa bado hawajauelewa ule muujiza wa mikate. Kwani fahamu zao zilikuwa zimezibwa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
maana hawakuwa bado wameelewa maana ya ile mikate. Akili zao zilikuwa bado zimepumbazika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kwa sababu hawakuwa bado wameelewa maana ya ile mikate. Akili zao zilikuwa bado zimepumbazika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa walikuwa hawajaelewa kuhusu ile mikate, mioyo yao ilikuwa migumu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa kuwa walikuwa hawajaelewa kuhusu ile mikate. Mioyo yao ilikuwa migumu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kwa maana hawakufahamu habari za ile mikate, lakini mioyo yao ilikuwa mizito.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kwa sababu hawakuwa bado wameelewa maana ya ile mikate. Akili zao zilikuwa bado zimepumbazika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwani hawajaelewa maana ya ile mikate, mioyo yao nayo ilikuwa imeshupaa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kwa maana hawakufahamu habari za ile mikate, lakini mioyo yao ilikuwa mizito.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kwa maana hawakuelewa maana ya ule muujiza wa kuzidisha mikate; kwa kuwa mioyo yao ilikuwa migumu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
kwa maana hawakufahamu khabari za ile mikate, walakini mioyo yao ilikuwa migumu.