Mark 6:54 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walipotoka mashuani watu walimtambua Yesu mara.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mara waliposhuka kutoka mashua yao, watu wakamtambua Isa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wakiisha kutoka mashuani, mara watu walimtambua,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Walipotoka katika mashua, watu wakamtambua Yesu,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Walipotoka mashuani, mara watu wakamtambua Yesu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walipotoka mashuani watu walimtambua Yesu mara.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mara waliposhuka kutoka katika mashua yao, watu wakamtambua Yesu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mara waliposhuka kutoka mashua yao, watu wakamtambua Isa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wakiisha kutoka mashuani, mara watu walimtambua,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walipotoka mashuani watu walimtambua Yesu mara.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao walipotoka chomboni, papo hapo watu wakamtambua;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wakiisha kutoka mashuani, mara watu walimtambua,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walipotoka ndani ya chombo, mara moja watu wakamutambua Yesu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na wakiisha kutoka chomboni, marra watu walimtambua, wakaenda mbio, wakizunguka inchi ile yote,