Mark 6:55 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, kwa haraka wakazunguka katika nchi ile yote, wakaanza kuwachukua wagonjwa wamelala juu ya mikeka yao, wakawapeleka kila mahali waliposikia Yesu yupo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakaenda katika vijiji vyote upesi, wakawabeba wagonjwa kwenye mikeka ili kuwapeleka mahali popote waliposikia kuwa Isa yupo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wakaenda mbio, wakizunguka nchi ile yote, wakaanza kuwachukua vitandani walio hawawezi, kwenda kila mahali waliposikia kwamba yupo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wakakimbia katika lile jimbo lote na kuanza kuwabeba wagonjwa katika machela na kuwapeleka pale waliposikia kuwa Yesu yupo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, kwa haraka wakazunguka katika nchi ile yote, wakaanza kuwachukua wagonjwa wamelala juu ya mikeka yao, wakawapeleka kila mahali waliposikia Yesu yupo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, kwa haraka wakazunguka katika nchi ile yote, wakaanza kuwachukua wagonjwa wamelala juu ya mikeka yao, wakawapeleka kila mahali waliposikia Yesu yupo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wakaenda katika vijiji vyote upesi, wakawabeba wagonjwa kwenye mikeka ili kuwapeleka mahali po pote waliposikia kuwa Yesu yupo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakaenda katika vijiji vyote upesi, wakawabeba wagonjwa kwenye mikeka ili kuwapeleka mahali popote waliposikia kuwa Isa yupo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wakaenda mbio, wakizunguka nchi ile yote, wakaanza kuwachukua vitandani waliokuwa wagonjwa, kwenda kila mahali waliposikia kwamba yupo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, kwa haraka wakazunguka katika nchi ile yote, wakaanza kuwachukua wagonjwa wamelala juu ya mikeka yao, wakawapeleka kila mahali waliposikia Yesu yupo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wakaenda mbio wakiizunguka nchi ile yote, wakaanza kuwachukua vitandani waliokuwa hawawezi, wakaenda nao huko na huko, walikomsikia, ya kuwa yeye yuko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wakaenda mbio, wakizunguka nchi ile yote, wakaanza kuwachukua vitandani walio hawawezi, kwenda kila mahali waliposikia kwamba yupo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi wakaenda mbio wakipita katika inchi ile yote, wakaanza kumuletea wagonjwa wakibebwa juu ya vipoyi, wakamufikia Yesu popote waliposikia yuko.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
wakaanza kuwachukua walio hawawezi vitandani, kwenda killa mahali waliposikia kwamba yupo.