Mark 6:6 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alishangaa sana kwa sababu ya kutoamini kwao. Kisha Yesu alivitembelea vijiji vya pale karibu akiwafundisha watu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye akashangazwa sana kwa kutoamini kwao. Kisha Isa akawa anaenda kutoka kijiji kimoja hadi kingine akifundisha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akastaajabu kwa sababu ya kutokuamini kwao. Akazunguka-zunguka katika vile vijiji, akifundisha.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Naye akashangazwa na jinsi watu wa mji wa kwao mwenyewe walivyokosa kuwa na imani. Kisha Yesu alizunguka vijijini akiwafundisha watu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Alishangaa sana kwa sababu ya kutoamini kwao. Kisha Yesu alivitembelea vijiji vya pale karibu akiwafundisha watu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alishangaa sana kwa sababu ya kutoamini kwao. Kisha Yesu alivitembelea vijiji vya pale karibu akiwafundisha watu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye akashangazwa sana kwa jinsi wasivyokuwa na imani. Kisha Yesu akawa anakwenda huku na huko kutoka kijiji kimoja hadi kingine akifundisha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye akashangazwa sana kwa jinsi wasivyokuwa na imani. Kisha Isa akawa anakwenda kutoka kijiji kimoja hadi kingine akifundisha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akastaajabu kwa sababu ya kutoamini kwao. Akazungukazunguka katika vile vijiji, akifundisha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alishangaa sana kwa sababu ya kutoamini kwao. Kisha Yesu alivitembelea vijiji vya pale karibu akiwafundisha watu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akastaajabu, jinsi walivyokataa kumtegemea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akastaajabu kwa sababu ya kutokuamini kwao. Akazunguka-zunguka katika vile vijiji, akifundisha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye alishangaa sana kwa sababu ya kutokuamini kwa watu wale. Kisha Yesu akazunguka katika vijiji vya kandokando akiwafundisha watu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akastaajahu kwa sababu ya kutokuamini kwao. Akazungukazunguka katika vile vijiji, akifundisha.