Mark 7:1 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baadhi ya Mafarisayo na waalimu wa sheria waliokuwa wametoka Yerusalemu walikusanyika mbele ya Yesu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mafarisayo na baadhi ya walimu wa Torati waliokuwa wametoka Yerusalemu wakakusanyika mbele ya Isa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Mafarisayo, na baadhi ya waandishi waliotoka Yerusalemu, wakakusanyika mbele yake,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mafarisayo na baadhi ya walimu wa Sheria waliokuja kutoka Yerusalemu walikusanyika mbele zake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Baadhi ya Mafarisayo na walimu wa Sheria waliokuwa wametoka Yerusalemu walikusanyika mbele ya Yesu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baadhi ya Mafarisayo na waalimu wa sheria waliokuwa wametoka Yerusalemu walikusanyika mbele ya Yesu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mafarisayo na baadhi ya walimu wa sheria waliokuwa wametoka Yerusalemu wakakusanyika mbele ya Yesu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mafarisayo na baadhi ya walimu wa Torati waliokuwa wametoka Yerusalemu wakakusanyika mbele ya Isa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha Mafarisayo, na baadhi ya waandishi waliotoka Yerusalemu, wakakusanyika mbele yake,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baadhi ya Mafarisayo na waalimu wa sheria waliokuwa wametoka Yerusalemu walikusanyika mbele ya Yesu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakamkusanyikia Mafariseo na wengine waliokuwa waandishi waliotoka Yerusalemu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Mafarisayo, na baadhi ya waandishi waliotoka Yerusalemu, wakakusanyika mbele yake,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wafarisayo na walimu wamoja wa Sheria waliotoka Yerusalema wakakusanyika mbele ya Yesu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
KIISHA Mafarisayo na baadhi ya waandishi waliotoka Yerusalemi wakakusanyika mbele yake,