Mark 7:10 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana Mose aliamuru: ‘Waheshimu baba yako na mama yako,’ na, ‘Anayemtukana baba yake au mama yake, lazima afe’.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa mfano, Musa alisema, ‘Waheshimu baba yako na mama yako,’ na, ‘Yeyote amtukanaye baba yake au mama yake, na auawe.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana Musa alisema, Waheshimu baba yako na mama yako, na, Amtukanaye babaye au mamaye kufa na afe.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kwa mfano Musa alisema, ‘Mheshimu baba yako na mama yako,’ na yule mtu atakayesema maneno mabaya juu ya ‘mama au baba yake itampasa auwawe.’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maana Mose aliamuru: Waheshimu baba yako na mama yako, na, Anayemlaani baba au mama, lazima afe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana Mose aliamuru: ‘Waheshimu baba yako na mama yako,’ na, ‘Anayemtukana baba yake au mama yake, lazima afe’.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa mfano, Mose alisema, ‘Waheshimu baba yako na mama yako’ na ‘Ye yote amtukanaye baba yake au mama yake auawe.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa mfano, Musa alisema, ‘Waheshimu baba yako na mama yako,’ na, ‘Yeyote amtukanaye baba yake au mama yake, na auawe.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana Musa alisema, Waheshimu baba yako na mama yako, na, Amtukanaye babaye au mamaye kufa na afe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana Mose aliamuru: ‘Waheshimu baba yako na mama yako,’ na, ‘Anayemtukana baba yake au mama yake, lazima afe’.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Mose alisema: Mheshimu baba yako na mama yako! na tena: Atakayemwapiza baba au mama sharti afe kwa kuuawa!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana Musa alisema, Waheshimu baba yako na mama yako, na, Amtukanaye babaye au mamaye kufa na afe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana Musa alisema: ‘Uwaheshimu baba yako na mama yako,’ na, ‘Anayemutukana baba yake au mama yake, anapaswa kuuawa.’
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Maana Musa alisema, Waheshimu baba yako na mama yako, na, Amtukanae baba yake au mama yake na afe.