Mark 7:12 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
basi, halazimiki tena kumsaidia baba yake au mama yake’.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
basi hawajibiki tena kumsaidia baba yake au mama yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wala hammruhusu baada ya hayo kumtendea neno babaye au mamaye;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha, anasema, hivyo hawezi kufanya kitu chochote kwa ajili ya kumsaidia baba au mama yake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
basi, halazimiki tena kuwasaidia wazazi wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
basi, halazimiki tena kumsaidia baba yake au mama yake’.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
basi hawajibiki tena kumsaidia baba yake au mama yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
basi hawajibiki tena kumsaidia baba yake au mama yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wala hammruhusu baada ya hayo kumtendea neno babaye au mamaye;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
basi, halazimiki tena kumsaidia baba yake au mama yake’.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo mnamzuia mtu huyo, asimpatie baba wala mama kitu;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wala hammruhusu baada ya hayo kumtendea neno babaye au mamaye;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
munamuruhusu asiwasaidie wazazi wake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
wala hamrukhusu baada ya hayo kumtendea neno baba yake wala mama yake;