Mark 7:14 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yesu aliuita tena ule umati wa watu, akawaambia, “Nisikilizeni nyote, mkaelewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa akaita tena umati ule wa watu, akawaambia, “Nisikilizeni nyote, na mwelewe jambo hili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawaita makutano tena, akawaambia, Nisikieni nyote na kufahamu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu akaliita lile kundi kwake na kuwaambia, “Kila mmoja anisikilize na kunielewa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu aliuita tena ule umati wa watu, akawaambia, “Nisikilizeni nyote, mkaelewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yesu aliuita tena ule umati wa watu, akawaambia, “Nisikilizeni nyote, mkaelewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yesu akaita tena ule umati wa watu akawaambia, “Nisikilizeni, kila mmoja wenu na mwelewe jambo hili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isa akaita tena ule umati wa watu, akawaambia, “Nisikilizeni, kila mmoja wenu na mwelewe jambo hili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawaita makutano tena, akawaambia, Nisikieni nyote na kufahamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yesu aliuita tena ule umati wa watu, akawaambia, “Nisikilizeni nyote, mkaelewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaliita tena kundi la watu, akawaambia: Nisikilizeni nyote, mjue maana!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawaita makutano tena, akawaambia, Nisikieni nyote na kufahamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Yesu akaita tena kundi la watu na kuwaambia: “Ninyi wote munisikilize na kuelewa maneno haya.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akawaita makutano tena, akawaambia, Nisikieni nyote, fahamuni.