Mark 7:17 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alipouacha umati wa watu na kuingia nyumbani, wanafunzi wake walimwuliza maana ya huo mfano.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya Isa kuacha ule umati wa watu na kuingia ndani, wanafunzi wake wakamuuliza maana ya mfano ule.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata alipoingia nyumbani, ameuacha mkutano, wanafunzi wake wakamwuliza habari za ule mfano.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na alipoliacha lile kundi na kuingia ndani ya nyumba, wanafunzi wake wakamwuliza juu ya fumbo lile.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Alipouacha umati wa watu na kuingia nyumbani, wanafunzi wake walimwuliza maana ya huo mfano.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alipouacha umati wa watu na kuingia nyumbani, wanafunzi wake walimwuliza maana ya huo mfano.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akiisha kuuacha ule umati wa watu na kuingia ndani, wanafunzi wake wakamwuliza maana ya mfano ule.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akiisha kuuacha ule umati wa watu na kuingia ndani, wanafunzi wake wakamuuliza maana ya mfano ule.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata alipoingia nyumbani, ameuacha mkutano, wanafunzi wake wakamwuliza kuhusu ule mfano.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alipouacha umati wa watu na kuingia nyumbani, wanafunzi wake walimwuliza maana ya huo mfano.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha alipoondoka penye watu na kuingia nyumbani, wanafunzi wake wakamwuliza mfano ule.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata alipoingia nyumbani, ameuacha mkutano, wanafunzi wake wakamwuliza habari za ule mfano.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati Yesu alipoachana na kundi na kuingia ndani ya nyumba, wanafunzi wake wakamwuliza maana ya mufano ule.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hatta alipoingia nyumbani, amewaacha makutano, wanafunzi wake wakamwuliza khabari za ule mfano.