Mark 7:21 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana kutoka ndani, moyoni mwa mtu, hutoka mawazo mabaya, uasherati, wizi, uuaji,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana kutoka ndani ya moyo wa mtu hutoka mawazo mabaya, uasherati, wizi, uuaji, uzinzi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana ndani ya mioyo ya watu hutoka mawazo mabaya, uasherati,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kwani mambo hayo yote mabaya hutoka ndani ya moyo wa mwanadamu; yaani mawazo mabaya na uasherati, wizi, mauaji,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kwa maana kutoka ndani, katika moyo wa mtu, hutoka mawazo mabaya, uasherati, wizi, uuaji,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana kutoka ndani, moyoni mwa mtu, hutoka mawazo mabaya, uasherati, wizi, uuaji,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana kutoka ndani ya moyo wa mtu hutoka: Mawazo mabaya, uasherati,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana kutoka ndani ya moyo wa mtu hutoka mawazo mabaya, uasherati, wizi, uuaji, uzinzi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana ndani ya mioyo ya watu hutoka mawazo mabaya, uasherati,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana kutoka ndani, moyoni mwa mtu, hutoka mawazo mabaya, uasherati, wizi, uuaji,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani ndani mioyoni mwa watu hutoka mawazo mabaya: ugoni, wizi, uuaji,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana ndani ya mioyo ya watu hutoka mawazo mabaya, uasherati,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana ni ndani ya mutu, ni kusema ndani ya moyo wake, ndimo munamotoka mawazo mabaya yanayoleta: uzinzi, wizi, uuaji,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa maana ndani ya mioyo ya watu hutoka mawazo mabaya, zina, asharati,