Mark 7:23 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maovu hayo yote yatoka ndani ya mtu, nayo humtia mtu unajisi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Maovu haya yote hutoka ndani ya mtu, nayo ndiyo yamtiayo mtu unajisi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haya yote yaliyo maovu yatoka ndani, nayo yamtia mtu unajisi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mambo haya yote yanatoka ndani ya mtu nayo ndiyo yanayomfanya asikubalike kwa Mungu.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maovu hayo yote yatoka ndani ya mtu, nayo humtia mtu najisi.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maovu hayo yote yatoka ndani ya mtu, nayo humtia mtu unajisi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maovu haya yote hutoka ndani ya mtu nayo ndiyo yamtiayo mtu unajisi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Maovu haya yote hutoka ndani ya mtu, nayo ndiyo yamtiayo mtu unajisi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haya yote yaliyo maovu yatoka ndani, nayo yamtia mtu unajisi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maovu hayo yote yatoka ndani ya mtu, nayo humtia mtu unajisi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mabaya haya yote hutoka ndani, tena ndiyo yanayomtia mtu uchafu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haya yote yaliyo maovu yatoka ndani, nayo yamtia mtu unajisi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maovu haya yote yanatoka ndani ya mutu, nayo yanamufanya kuwa muchafu.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Haya yote yaliyo maovu yatoka ndani, nayo yamtia mtu najis.