Mark 7:3 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana Mafarisayo na Wayahudi wengine wote huzingatia mapokeo ya wazee wao: Hawali kitu kabla ya kunawa mikono ipasavyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
(Kwa kuwa Mafarisayo na Wayahudi wote hawali chakula pasipo kunawa kwa kufuata desturi za wazee wao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana Mafarisayo na Wayahudi wote wasiponawa mikono mpaka kiwiko, hawali, wakishika mapokeo ya wazee wao;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kwani Mafarisayo na Wayahudi wengineo wote hawawezi kula isipokuwa wameosha mikono yao kwa njia maalumu, kulingana na desturi ya wazee.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maana Mafarisayo na Wayahudi wengine wote huzingatia mapokeo ya wazee wao: hawali kitu kabla ya kunawa mikono ipasavyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana Mafarisayo na Wayahudi wengine wote huzingatia mapokeo ya wazee wao: hawali kitu kabla ya kunawa mikono ipasavyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa Mafarisayo na Wayahudi wote hawali chakula pasipo kunawa kwa kufuata desturi za wazee wao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa Mafarisayo na Wayahudi wote hawali chakula pasipo kunawa kwa kufuata desturi za wazee wao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana Mafarisayo na Wayahudi wote wasiponawa mikono mpaka kiwiko, hawali, wakishika mapokeo ya wazee wao;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana Mafarisayo na Wayahudi wengine wote huzingatia mapokeo ya wazee wao: Hawali kitu kabla ya kunawa mikono ipasavyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Mafariseo na Wayuda wote hawali, wasiponawa mikono na kuikamua; huku ni kuyashika mazoezo ya wakale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana Mafarisayo na Wayahudi wote wasiponawa mikono mpaka kiwiko, hawali, wakishika mapokeo ya wazee wao;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ilikuwa vile kwa maana Wafarisayo na Wayuda wote wanashika desturi za babu zao; zinazokataza kula pasipo kunawa mikono kama inavyostahili.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa maana Mafarisayo na Wayahudi wote wasiponawa mikono kwanza, hawali, wakishika hadithi za wazee wao: