Mark 7:34 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha akatazama juu mbinguni, akapiga kite, akamwambia, “Efatha,” maana yake “Funguka.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Isa akatazama mbinguni, akashusha pumzi kwa nguvu, akamwambia, “Efatha!” (yaani, “Funguka!”)
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
akatazama juu mbinguni, akaugua, akamwambia, Efatha, maana yake, Funguka.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Akaangalia juu mbinguni, akapumua na kumwambia “ Efatha ” yaani, “Funguka!”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kisha akatazama juu mbinguni, akapiga kite, akamwambia, “Efatha,” maana yake, “Funguka.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha akatazama juu mbinguni, akapiga kite, akamwambia, “Efatha,” maana yake “Funguka.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Yesu akatazama mbinguni, akavuta hewa ndani kwa nguvu akamwambia, “Efatha!” Yaani, “Funguka!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Isa akatazama mbinguni, akavuta hewa ndani kwa nguvu akamwambia, “Efatha!” Yaani, “Funguka!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
akatazama juu mbinguni, akaugua, akamwambia, Efatha, maana yake, Funguka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha akatazama juu mbinguni, akapiga kite, akamwambia, “Efatha,” maana yake “Funguka.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akatazama juu mbinguni, akapiga kite, akamwambia: Efata! ni kwamba: Fumbuka!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
akatazama juu mbinguni, akaugua, akamwambia, Efatha, maana yake, Funguka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Yesu akaangalia juu mbinguni, akasisimua na kumwambia yule mutu: “Efata,” maana yake, “Funguka!”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
akatazama juu mbinguni, akaugua, akamwambia, Effatha, maana yake, Funguka!