Mark 7:35 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mara masikio yake yakafunguka na ulimi wake ukafunguliwa, akaanza kusema sawasawa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mara masikio yake yakafunguka na ulimi wake ukaachiliwa, akaanza kuongea sawasawa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mara masikio yake yakafunguka, kifungo cha ulimi wake kikalegea, akasema vizuri.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mara masikio ya mtu yule yakafunguka, na ulimi wake ukawa huru, na akaanza kuzungumza, vizuri.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mara masikio yake yakafunguka na ulimi wake ukafunguliwa, akaanza kusema sawasawa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mara masikio yake yakafunguka na ulimi wake ukafunguliwa, akaanza kusema sawasawa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mara masikio yake yakafunguka na ulimi wake ukaachiwa akaanza kuongea sawasawa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mara masikio yake yakafunguka na ulimi wake ukaachiliwa, akaanza kuongea sawasawa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mara masikio yake yakafunguka, kifungo cha ulimi wake kikalegea, akasema vizuri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mara masikio yake yakafunguka na ulimi wake ukafunguliwa, akaanza kusema sawasawa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, masikio yake yalipofumbuka, nayo mafungo ya ulimi wake yakalegea papo hapo, akasema vema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mara masikio yake yakafunguka, kifungo cha ulimi wake kikalegea, akasema vizuri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mara moja masikio yake yakafunguka, nao ulimi wake ukafunguliwa, akaanza kusema vizuri.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Marra masikio yake yakafunguka, kifungo cha ulimi wake kikalegea, akasema vizuri.