Mark 8:13 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, akawaacha, akapanda tena mashua, akaanza safari kwenda ngambo ya pili ya ziwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha akawaacha, akarudi kwenye mashua, akavuka hadi ng’ambo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawaacha, akapanda tena chomboni, akaenda zake hata ng'ambo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha Yesu akawaacha, akapanda tena katika mashua, na akaondoka kwenda upande wa pili wa ziwa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, akawaacha, akapanda tena mashua, akaanza safari kwenda ng'ambo ya pili ya ziwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, akawaacha, akapanda tena mashua, akaanza safari kwenda ng'ambo ya pili ya ziwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha akawaacha, akarudi kwenye mashua, akavuka hadi ng'ambo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha akawaacha, akarudi kwenye mashua, akavuka hadi ng’ambo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawaacha, akapanda tena katika mashua, akaenda zake hadi ng'ambo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, akawaacha, akapanda tena mashua, akaanza safari kwenda ngambo ya pili ya ziwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akawaacha, akajipakia tena chomboni, akaenda zake ng'ambo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawaacha, akapanda tena chomboni, akaenda zake hata ng’ambo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha akawaacha, akaingia tena ndani ya chombo, akaanza kuvuka ziwa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akawaacha, akapanda tena chomboni, akaenda zake hatta ngʼambu.