Mark 8:14 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanafunzi walikuwa wamesahau kuchukua mikate; walikuwa na mkate mmoja tu katika mashua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanafunzi walikuwa wamesahau kuchukua mikate ya kutosha. Walikuwa na mkate mmoja tu kwenye mashua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakasahau kuchukua mikate, wala chomboni hawana ila mkate mmoja tu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wakati huo huo wanafunzi walikuwa wamesahau kuleta mikate yo yote, na hawakuwa na kitu kingine isipokuwa mkate mmoja.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wanafunzi walikuwa wamesahau kuchukua mikate; walikuwa na mkate mmoja tu katika mashua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanafunzi walikuwa wamesahau kuchukua mikate; walikuwa na mkate mmoja tu katika mashua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanafunzi walikuwa wamesahau kuleta mikate ya kutosha. Walikuwa na mkate mmoja tu kwenye mashua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanafunzi walikuwa wamesahau kuchukua mikate ya kutosha. Walikuwa na mkate mmoja tu kwenye mashua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakasahau kuchukua mikate, wala katika mashua hawana ila mkate mmoja tu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanafunzi walikuwa wamesahau kuchukua mikate; walikuwa na mkate mmoja tu katika mashua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walikuwa wamesahau kuchukua mikate; namo chomboni hawakuwa na mikate ila mmoja tu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakasahau kuchukua mikate, wala chomboni hawana ila mkate mmoja tu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanafunzi walikuwa wamesahau kupeleka mikate, isipokuwa walikuwa na mukate mumoja tu ndani ya chombo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakasahan kuchukua mikate, wala chomboni hawana illa mkate mmoja tu.