Mark 8:21 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, akawaambia, “Na bado hamjaelewa?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo akawauliza, “Je, bado hamwelewi?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawaambia, Hamjafahamu bado?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha akawaambia, “Bado hamwelewi?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, akawaambia, “Na bado hamjaelewa?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, akawaambia, “Na bado hamjaelewa?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo akawauliza, “Je, bado tu hamwelewi?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo akawauliza, “Je, bado hamwelewi?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawaambia, Hamjafahamu bado?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, akawaambia, “Na bado hamjaelewa?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawauliza: Hamjajua bado maana?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawaambia, Hamjafahamu bado?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi Yesu akawauliza: “Na hata sasa hamujaelewa kitu?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akawaambia, Imekuwaje hamjafahamu?