Mark 8:26 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yesu akamwambia aende zake nyumbani na kumwamuru, “Usirudi kijijini!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa akamtuma nyumbani mwake, akamwambia, “Hata kijijini usiingie.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akampeleka nyumbani kwake, akisema, Hata kijijini usiingie.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha Yesu akamwambia arudi nyumbani, na pia akamwambia, “Usiingie kijijini.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu akamwambia aende zake nyumbani na kumwamuru, “Usirudi kijijini!”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yesu akamwambia aende zake nyumbani na kumwamuru, “Usirudi kijijini!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yesu akamuaga aende nyumbani kwake, akimwambia, “Hata kijijini usiingie.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isa akamuaga aende nyumbani kwake, akimwambia, “Hata kijijini usiingie.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamwagiza aende nyumbani kwake, akisema, Hata kijijini usiingie.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yesu akamwambia aende zake nyumbani na kumwamuru, “Usirudi kijijini!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akamtuma, aende nyumbani mwake, akisema: Kijijini usimwingie! Wala usimwambie mtu wa humu kijijini!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akampeleka nyumbani kwake, akisema, Hata kijijini usiingie.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Yesu akamwomba arudie kwake, akimwagiza asirudi katika kijiji.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akampeleka nyumbani kwake, akinena, Usiingie mjini, wala usiseme na mtu mjini.