Mark 8:29 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye akawauliza, “Na nyinyi je, mnasema mimi ni nani?” Petro akamjibu, “Wewe ndiwe Kristo.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akawauliza, “Je, ninyi mnasema mimi ni nani?” Petro akajibu, “Wewe ndiwe Al-Masihi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akawauliza, Na ninyi mnasema ya kuwa mimi ni nani? Petro akamjibu, akamwambia, Wewe ndiwe Kristo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha akawauliza wao, “Na ninyi; Je! Mnasema mimi ni nani?” Petro akamjibu, “Wewe ni masihi.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Naye akawauliza, “Na ninyi je, mnasema mimi ni nani?” Petro akamjibu, “Wewe ndiwe Kristo.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye akawauliza, “Na nyinyi je, mnasema mimi ni nani?” Petro akamjibu, “Wewe ndiwe Kristo.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akawauliza, “Je, ninyi, mnasema mimi ni nani?” Petro akajibu, “Wewe ndiwe Kristo.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akawauliza, “Je, ninyi mnasema mimi ni nani?” Petro akajibu, “Wewe ndiwe Al-Masihi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akawauliza, Na ninyi mnasema ya kuwa mimi ni nani? Petro akamjibu, akamwambia, Wewe ndiwe Kristo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye akawauliza, “Na nyinyi je, mnasema mimi ni nani?” Petro akamjibu, “Wewe ndiwe Kristo.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akawauliza: Lakini ninyi mnanisema kuwa ni nani? Petero akajibu akimwambia: Wewe ndiwe Kristo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akawauliza, Na ninyi mnasema ya kuwa mimi ni nani? Petro akamjibu, akamwambia, Wewe ndiwe Kristo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Yesu akawauliza: “Na ninyi munasema kwamba mimi ni nani?” Petro akamujibu: “Wewe ni Kristo.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Yeye akawauliza, Na ninyi mnasema ya kuwa mimi ni nani? Petro akamjibu akamwambia, Wewe ndiwe Kristo.