Mark 8:30 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha Yesu akawaonya wasimwambie mtu yeyote habari zake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa akawaonya wasimwambie mtu yeyote habari zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawaonya wasimwambie mtu habari zake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha Yesu akawaonya wasimwambie mtu yeyote kuhusu yeye.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kisha Yesu akawaonya wasimwambie mtu yeyote habari zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha Yesu akawaonya wasimwambie mtu yeyote habari zake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akawaonya wasimwambie mtu ye yote habari zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isa akawaonya wasimwambie mtu yeyote habari zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawaonya wasimwambie mtu habari zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha Yesu akawaonya wasimwambie mtu yeyote habari zake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, alipowatisha, wasimwambie mtu hilo neno lake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawaonya wasimwambie mtu habari zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi Yesu akawaagiza wasimwambie mutu neno lile.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akawaagiza wasimwambie mtu khabari zake.