Mark 8:32 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yesu aliwaambia jambo hilo waziwazi. Hapo, Petro akamchukua kando, akaanza kumkemea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Aliyasema haya waziwazi. Ndipo Petro akamchukua kando na akaanza kumkemea.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye alikuwa akinena neno hilo waziwazi. Petro akamchukua, akaanza kumkemea.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu aliwaambia haya kwa uwazi bila kuwaficha. Baada ya mafundisho haya Petro alimchukua Yesu pembeni na kuanza kumkemea.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu aliwaambia jambo hilo waziwazi. Basi, Petro akamchukua kando, akaanza kumkemea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yesu aliwaambia jambo hilo waziwazi. Hapo, Petro akamchukua kando, akaanza kumkemea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Aliyasema haya waziwazi, ndipo Petro akamchukua kando akaanza kumkemea.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Aliyasema haya waziwazi, ndipo Petro akamchukua kando na akaanza kumkemea.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye alikuwa akinena neno hilo waziwazi. Petro akamchukua, akaanza kumkemea.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yesu aliwaambia jambo hilo waziwazi. Hapo, Petro akamchukua kando, akaanza kumkemea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Neno hili akalisema waziwazi. Ndipo, Petero alipomchukua pembeni, akaanza kumtisha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye alikuwa akinena neno hilo waziwazi. Petro akamchukua, akaanza kumkemea.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye aliwaambia maneno hayo waziwazi. Basi Petro akamwita Yesu pembeni na kuanza kumukaripia.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Petro akamchukua akaanza kumkemea.