Mark 8:7 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walikuwa pia na visamaki vichache. Yesu akavibariki, akaamuru vigawiwe watu vilevile.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walikuwa pia na visamaki vichache, Isa akavibariki, akawaamuru wanafunzi wake wawagawie watu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walikuwa na visamaki vichache; akavibarikia, akasema wawaandikie na hivyo pia.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kulikuwapo pia samaki wadogo wachache. Yesu akawabariki wale samaki na kuwaambia waigawe nayo pia.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Walikuwa pia na visamaki vichache. Yesu akavibariki, akaamuru vigawiwe watu vilevile.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walikuwa pia na visamaki vichache. Yesu akavibariki, akaamuru vigawiwe watu vilevile.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walikuwa pia na visamaki vichache, Yesu akavibariki, akawaamuru wanafunzi wake wawagawie watu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walikuwa pia na visamaki vichache, Isa akavibariki, akawaamuru wanafunzi wake wawagawie watu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Walikuwa na visamaki vichache; akavibariki, akasema wawagawie na hivyo pia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walikuwa pia na visamaki vichache. Yesu akavibariki, akaamuru vigawiwe watu vilevile.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena walikuwa na visamaki vichache; navyo akaviombea, akasema, wawapangie hivi navyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walikuwa na visamaki vichache; akavibarikia, akasema wawaandikie na hivyo pia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walikuwa vilevile na samaki ndogo chache. Yesu akamushukuru Mungu na kuwaambia wanafunzi wazigawanye vilevile.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Walikuwa na visamaki vichache; akavibariki, akasema, na hivi waviandae.