Mark 8:9 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nao waliokula walikuwa watu wapatao 4,000. Yesu akawaaga,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu waliokula walikuwa wapata elfu nne. Baada ya kuwaaga,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na watu waliokula wapata elfu nne. Akawaaga.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ilikuwa kama watu 4,000. Kisha Yesu akawaacha waende.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nao waliokula walikuwa watu wapatao elfu nne. Yesu akawaaga,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nao waliokula walikuwa watu wapatao 4,000. Yesu akawaaga,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu waliokula walikuwa wapata 4,000. Akiisha kuwaaga,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu waliokula walikuwa wapata 4,000. Akiisha kuwaaga,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na watu waliokula walikuwa elfu nne. Akawaaga.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nao waliokula walikuwa watu wapatao 4,000. Yesu akawaaga,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao walikuwa kama 4000. Kisha akawaaga, waende zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na watu waliokula wapata elfu nne. Akawaaga.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu waliokula walikuwa yapata elfu ine. Kisha kuagana nao,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na watu waliokula wapata elfu nne. Akawaaga.