Mark 9:10 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, wakashika agizo hilo, lakini wakawa wanajadiliana wao kwa wao maana ya kufufuka kutoka kwa wafu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakalihifadhi jambo hilo wao wenyewe, lakini wakawa wanajiuliza, “Huku kufufuka kwa wafu maana yake nini?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakalishika neno lile, wakiulizana wao kwa wao, Huko kufufuka katika wafu maana yake nini?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo hawakuwaeleza wengine juu ya jambo lile bali walijadiliana miongoni mwao wenyewe juu ya maana ya “kufufuka kutoka kwa wafu.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, wakashika agizo hilo, lakini wakawa wanajadiliana wao kwa wao maana ya kufufuka kutoka wafu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, wakashika agizo hilo, lakini wakawa wanajadiliana wao kwa wao maana ya kufufuka kutoka kwa wafu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakalihifadhi jambo hilo wao wenyewe, lakini wakawa wanajiuliza, “Huku kufufuka kwa wafu maana yake nini?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakalihifadhi jambo hilo wao wenyewe, lakini wakawa wanajiuliza, “Huku kufufuka kwa wafu maana yake nini?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakalishika neno lile, wakiulizana wao kwa wao, Huko kufufuka katika wafu maana yake nini?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, wakashika agizo hilo, lakini wakawa wanajadiliana wao kwa wao maana ya kufufuka kutoka kwa wafu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakalishika neno hili wakiulizana wao kwa wao: Huko kufufuka katika wafu maana yake nini?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakalishika neno lile, wakiulizana wao kwa wao, Huko kufufuka katika wafu maana yake nini?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wao walitii agizo hilo, lakini wakaanza kuulizana: “Maana ya kufufuka huku ni gani?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakalishika neno lile, wakiulizana wao kwa wao, Huku kufufuka katika wafu maana yake nini?

Recommended Reading