Mark 9:11 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakamwuliza Yesu, “Mbona waalimu wa sheria wanasema ni lazima kwanza Elia aje?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakamuuliza, “Kwa nini walimu wa Torati husema kwamba ni lazima Ilya aje kwanza?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamwuliza, wakisema, Mbona waandishi hunena ya kwamba imempasa Eliya kuja kwanza?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wakamwuliza Yesu, “kwa nini walimu wa sheria wanasema Eliya lazima aje kwanza?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wakamwuliza Yesu, “Mbona walimu wa Sheria wanasema kwamba ni lazima Eliya aje kwanza?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakamwuliza Yesu, “Mbona waalimu wa sheria wanasema ni lazima kwanza Elia aje?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakamwuliza, “Kwa nini walimu wa sheria husema kwamba ni lazima Eliya aje kwanza?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakamuuliza, “Kwa nini walimu wa Torati husema kwamba ni lazima Ilya aje kwanza?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamwuliza, wakisema, Mbona waandishi hunena ya kwamba imempasa Eliya kuja kwanza?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakamwuliza Yesu, “Mbona waalimu wa sheria wanasema ni lazima kwanza Elia aje?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakamwuliza wakisema: Waandishi husemaje: Sharti kwanza Elia aje?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamwuliza, wakisema, Mbona waandishi hunena ya kwamba imempasa Eliya kuja kwanza?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha wakamwuliza Yesu: “Kwa nini walimu wa Sheria wanasema kama sherti Elia arudi kwanza?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakamhoji, wakinena, Waandishi wanena ya kuwa imempasa Eliya kuja kwanza.