Mark 9:13 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini nawaambieni, Elia amekwisha kuja, nao wakamtendea walivyotaka kama ilivyoandikwa juu yake.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini nawaambia, Ilya amekwisha kuja, nao wakamtendea walivyopenda, kama ilivyoandikwa kumhusu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini nawaambia, Eliya amekwisha kuja, nao wakamtenda yote waliyoyataka kama alivyoandikiwa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini ninawaambia, Eliya amekuja, na walimtendea kila kitu walichotaka, kama vile ilivyoandikwa kuhusu yeye.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini nawaambieni, Eliya amekwisha kuja, nao wakamtendea walivyotaka kama ilivyoandikwa juu yake.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini nawaambieni, Elia amekwisha kuja, nao wakamtendea walivyotaka kama ilivyoandikwa juu yake.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini ninawaambia, Eliya amekwisha kuja nao wakamtendea walivyopenda, kama ilivyoandikwa kumhusu yeye.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini ninawaambia, Ilya amekwisha kuja, nao wakamtendea walivyopenda, kama ilivyoandikwa kumhusu yeye.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini nawaambia, Eliya amekwisha kuja, nao wakamtenda yote waliyoyataka kama alivyoandikiwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini nawaambieni, Elia amekwisha kuja, nao wakamtendea walivyotaka kama ilivyoandikwa juu yake.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini nawaambiani: Elia amekwisha kuja, wakamtendea yote, waliyoyataka, kama alivyoandikiwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini nawaambia, Eliya amekwisha kuja, nao wakamtenda yote waliyoyataka kama alivyoandikiwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini ninawaambia kama Elia amekwisha kurudi, na watu walimutendea yote waliyotaka, kama Maandiko yanavyosema juu yake.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini nawaambieni, Eliya amekwisha kuja, nao wakamtenda yote waliyoyataka kama alivyoandikiwa.