Mark 9:15 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mara tu ule umati wa watu ulipomwona, wote walishangaa sana, wakamkimbilia wamsalimu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mara wale watu walipomwona Isa, wakastaajabu sana, wakamkimbilia ili kumsalimu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
mara mkutano wote walipomwona walishangaa, wakamwendea mbio, wakamsalimu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mara tu watu wote walipomwona Yesu, walishangazwa, na wakakimbia kwenda kumsalimia.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mara tu ule umati wa watu ulipomwona, wote walishangaa sana, wakamkimbilia wamsalimu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mara tu ule umati wa watu ulipomwona, wote walishangaa sana, wakamkimbilia wamsalimu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mara wale watu walipomwona Yesu, wakastaajabu sana, wakamkimbilia, ili kumsalimu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mara wale watu walipomwona Isa, wakastaajabu sana, wakamkimbilia ili kumsalimu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
mara mkutano wote walipomwona walishangaa, wakamwendea mbio, wakamsalimu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mara tu ule umati wa watu ulipomwona, wote walishangaa sana, wakamkimbilia wamsalimu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Papo hapo kundi lote lilipomwona yeye, wakastuka, wakamwendea mbio, wakamwamkia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
mara mkutano wote walipomwona walishangaa, wakamwendea mbio, wakamsalimu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mara moja, watu walipomwona Yesu, wakashangaa sana, wakakimbia kwenda kumusalimia.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
marra makutano yote wakimwona wakashangaa wakamwendea mbio, wakamsalimu.