Mark 9:21 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Amepatwa na mambo hayo tangu lini?” Naye akamjibu, “Tangu utoto wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa akamuuliza baba yake, “Mwanao amekuwa katika hali hii tangu lini?” Akamjibu, “Tangu utoto wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamwuliza babaye, Amepatwa na haya tangu lini? Akasema, Tangu utoto.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu akamwuliza babaye, “Kwa muda gani amekuwa katika hali hii?” Yule babaye akajibu akisema, “amekuwa katika hali hii tangu utoto.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Amepatwa na mambo hayo tangu lini?” Naye akamjibu, “Tangu utoto wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Amepatwa na mambo hayo tangu lini?” Naye akamjibu, “Tangu utoto wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yesu akamwuliza baba yake, “Mwanao amekuwa akitokewa na hali hii tangu lini?” Akamjibu, “Tangu utoto wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isa akamuuliza baba yake, “Mwanao amekuwa katika hali hii tangu lini?” Akamjibu, “Tangu utoto wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamwuliza babaye, Amepatwa na haya tangu lini? Akasema, Tangu utoto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Amepatwa na mambo hayo tangu lini?” Naye akamjibu, “Tangu utoto wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akamwuliza baba yake: Hivyo vimempata tangu lini? Akasema: Tangu utoto wake;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamwuliza babaye, Amepatwa na haya tangu lini? Akasema, Tangu utoto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu akamwuliza baba ya mutoto: “Amekuwa na hali hii tangu wakati gani?” Baba yake akamujibu: “Ni tangu utoto wake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akamwuliza baba yake, Tangu wakati gani amepatwa na haya? Akasema, Tangu utoto.