Mark 9:29 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye akawaambia, “Pepo wa aina hii hawezi kutoka isipokuwa kwa sala.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa akawajibu, “Pepo aina hii haiwezi kutoka isipokuwa kwa kuomba [na kufunga].”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawaambia, Namna hii haiwezi kutoka kwa neno lo lote, isipokuwa kwa kuomba.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Naye akawaambia, “Aina hii haiwezi kutoka isipokuwa kwa maombi.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Naye akawaambia, “Pepo wa aina hii hawezi kutoka isipokuwa kwa sala tu.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye akawaambia, “Pepo wa aina hii hawezi kutoka isipokuwa kwa sala.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yesu akawajibu, “Hali hii haiwezi kutoka isipokuwa kwa kuomba na kufunga.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isa akawajibu, “Hali hii haiwezi kutoka isipokuwa kwa kuomba na kufunga.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawaambia, Namna hii haiwezi kutoka kwa neno lolote, isipokuwa kwa kuomba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye akawaambia, “Pepo wa aina hii hawezi kutoka isipokuwa kwa sala.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawaambia: Pepo walio hivyo hawawezi kutoka, isipokuwa kwa nguvu ya kuomba na ya kufunga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawaambia, Namna hii haiwezi kutoka kwa neno lo lote, isipokuwa kwa kuomba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu akawajibu: “Pepo wa namna hii wanaweza kufukuzwa tu kwa njia ya maombi.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akawaambia, Namna hii haiwezi kutoka kwa neno lo lote, isipokuwa kwa kusali na kufunga.