Mark 9:4 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Elia na Mose wakawatokea, wakazungumza na Yesu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Musa na Ilya wakawatokea, wakawa wanazungumza na Isa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakatokewa na Eliya pamoja na Musa, nao walikuwa wakizungumza na Yesu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Huko Eliya na Musa pia wakawatokea, na Yesu alizungumza na manabii hao wawili.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Eliya na Mose wakawatokea, wakazungumza na Yesu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Elia na Mose wakawatokea, wakazungumza na Yesu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mose na Eliya wakawatokea, wakawa wanazungumza na Yesu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Musa na Ilya wakawatokea, wakawa wanazungumza na Isa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakatokewa na Eliya pamoja na Musa, nao walikuwa wakizungumza na Yesu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Elia na Mose wakawatokea, wakazungumza na Yesu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakatokewa na Elia pamoja na Mose, wakawa wakiongea na Yesu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakatokewa na Eliya pamoja na Musa, nao walikuwa wakizungumza na Yesu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu wale wanafunzi watatu wakawaona Elia na Musa wakisemezana na Yesu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakatokewa na Eliya pamoja na Musa, nao walikuwa wakisemezana na Yesu.