Mark 9:40 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana, asiyepingana nasi, yuko upande wetu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana yeyote asiye kinyume chetu, yuko upande wetu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kwa sababu asiye kinyume chetu, yu upande wetu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yeye ambaye hapingani na sisi basi yuko pamoja na sisi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maana, asiyepingana nasi, yuko upande wetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana, asiyepingana nasi, yuko upande wetu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana ye yote asiye kinyume chetu yuko upande wetu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana yeyote asiye kinyume chetu, yuko upande wetu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kwa sababu asiye kinyume chetu, yu upande wetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana, asiyepingana nasi, yuko upande wetu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani asiyetukataa yuko upande wetu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kwa sababu asiye kinyume chetu, yu upande wetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni vile kwa maana asiyekuwa adui yetu, ni wa upande wetu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
kwa sababu asiye kiuyume chetu, ni upande wetu.